KUHUSU MIMI



(Mc Edwin Luvanda akiwa kazini)

KWA JINA ANAITWA EDWIN LUVANDA NI MWALIMU PIA NI MASTER OF CEREMONY KWA KIFUPI MC AU MSHEREHESHAJI.NI MWANAFUNZI WA KITIVO CHA ELIMU CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI (TEKU) MBEYA ANASOMEA SHAHADA YA UALIMU ( BACHELOR OF EDUCATION WITH ARTS).KATIKA SHUGHULI ZA U MC ANA UZOEFU WA MIAKA 10.

MC EDWIN LUVANDA NI MTAALAM WA KUENDESHA HARUSI,SEND OFF,VIPAIMARA,BIRTHDAY,GRADUATION PAMOJA NA SHEREHE MBALIMBALI ZA KISERIKALI NA ZISIZO ZA KISERIKALI
 




0 comments:

Post a Comment

MATUKIO MAPYA


Recent Posts Widget

MAKTABA YETU

BLOGS RAFIKI

Powered by Blogger.