(Mc Edwin Luvanda akiwa kazini)
KWA
JINA ANAITWA EDWIN LUVANDA NI MWALIMU PIA NI MASTER OF CEREMONY KWA
KIFUPI MC AU MSHEREHESHAJI.NI MWANAFUNZI WA KITIVO CHA ELIMU CHUO
KIKUU CHA TEOFILO KISANJI (TEKU) MBEYA ANASOMEA SHAHADA YA UALIMU (
BACHELOR OF EDUCATION WITH ARTS).KATIKA SHUGHULI ZA U MC ANA UZOEFU
WA MIAKA 10.
MC
EDWIN LUVANDA NI MTAALAM WA KUENDESHA HARUSI,SEND
OFF,VIPAIMARA,BIRTHDAY,GRADUATION PAMOJA NA SHEREHE MBALIMBALI ZA KISERIKALI NA
ZISIZO ZA KISERIKALI
KAMA UNAHITAJI SHEREHE YAKO IFANE USISITE KUWASILIANA NAYE MOJA KWA MOJA MPIGIE
VODA: + 255755972011
TIGO: + 255715972011
TIGO: + 255715972011
0 comments:
Post a Comment